TIBU MAPEMA TATIZO LA P.I.D
(Pelvic inflammatory disease)
UFAHAMU UGONJWA WA P.I.D,(Pelvic Inflammatory Disease)
CHANZO DALILI NA SULUHISHO LA KUDUMU.
👉P.I.D ni Maambukizi ya Bakteria katika via vya uzazi vya mwanamke(Kizazi,Mirija ya Uzazi na Mayai)
Bakteria wa P.I.D
👉Chilamydia (Pangusa)
👉Neisseria gonorrhea(Gonorrhea)
Bakteria Hawa huambukizwa kwa njia ya kujamiiana.
JE, NI KWA JINSI GANI MWANAMKE ANAWEZA KUPATA P.I.D?
1. Ngono isiyo salama (kufanya tendo la ndoa kupitia tundu la haja kubwa)
2. Utoaji mimba(abortion)
3. Dawa za uzazi wa mpango au vizuizi mimba( mfano p2)
4. Maambukizi mara baada ya mama kujifungua
5. Kinga ya mwili kushuka hivyo kuruhusu wadudu wa P.I.D kukushambulia kiurahisi
DALILI ZA P.I.D
* Maumivu ya tumbo chini ya kitovu. Wakati mwingine upande wa kulia
* Kutokwa na uchafu ukeni, hasa wenye rangi ya njano unaoelekea kuwa kijani kwa mbali ukiwa na harufu mbaya.
* Kuhisi Maumivu ama hali ya kuungua wakati wa kukojoa
* Homa
* Kuhisi kichefuchefu ama kutapika
* Kuhisi Maumivu wakati wa tendo la ndoa ama kutokwa na damu wakati wa tendo la ndoa.
* Kuvurugika kwa hedhi
* Kupata hedhi katikati ya hedhi, yaani waweza kupata hedhi mara 2 ndani ya mwezi 1.
* Kuziba mirija ya uzazi au kujaa maji
* Mwili kuishiwa na nguvu
* Maumivu ya kiuno
* Miwasho sehemu za siri
* Uke kuwa mlaini sana na kulegea
MADHARA YA P.I.D
1. Ugumba
2. Kansa ya shingo ya kizazi kupelekea kutolewa kizazi
3. Mirija ya uzazi kuziba kufanya mayai Kushindwa kufunga Mimba
4. Michubuko eneo la kizazi
5. Saratani ya shingo ya kizazi.
Tags:
Manyanda